3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam
17/8/2024
Apartment inapangishwa
Location bunju Beach ๐๏ธ moga
Vyumba vitatu master bedroom daining sebule jiko pablick toilet maji umeme paving block electric fence
Bei laki 500,000 Kwa mwezi
Malipo miezi 6
Contact Whatsapp
0677891011
0683983630
Sevice chage elfu 20