3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Isyesye, Mbeya


APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA SELF SEBURE JIKO NA PUBLIC TOILET
ZIKO MBILI NDANI YA GETI
INAJITEGEMEA UMEME
KODI YAKE 250K
IKO ISYESYE MBEYA JIJI
MAWASILIANO 0756258721