3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kati, Arusha


(620,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢
APARTMENT MPYA KUBWA NZURI NA ZIPO MTAA MZURI SANA ZINAPANGISHWA BEI NI 620,000/= × 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO
#ILIYOKAMILIKA NI YA JUU GOROFANI
#ZIPO APARTMENT 3 KWENYE FENSI MOJA
#MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA UJENZI KWA KASI YA 5G
#PARKING KUBWA
BEI NI 620,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU
NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII G𝗛ARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥UJENZI UNAENDELEA NA MAFUNDI WANAENDELEA KUPAMBA NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300