3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Bei:350,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 2.5 Usafiri bajaji zipo
Ndani ya fence zipo 2 KILA MMOJA anajitegemea umeme na maji
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15k
SIMU 0659336751 WSP 0786085637