3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kiluvya, Pwani


APARTMENT MPYA YA KISASA INAPANGISHWA... BEI SH 350000×6 NO PUNGUZO
LOCATION:
KILUVYA KWA KOMBA
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA...DINNING KUBWA
JIKO ZURI LA KISASA
PUBLIC TOILET NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI..MAJI YANAFLOW KOTE
PACKING SPACE KUBWA
UMBALI KUTOKA STEND KM1.3.....BODABODA 1000 TU
KUONA ELFU 15000/=
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
KODI:350000×6 KAMILI
PIGA SIMU
0719969102