3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

500,000 x6. 0679 956 863

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

0679 956 863

0759151524

0781 418 437

dalali_shamte_kimara_ubungo
dalali_shamte_kimara_mbezi__
dalali_shamte_kimara_ubungo

Similar items by location

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000 ร— 6) ๐—ž๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ž๐—ข๐—ฅ๐—ข๐—š๐—ช๐—˜ ๐—ฃ๐—œ๐—” ๐—จ๐—ก๐—”๐—ช๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ฃ๐—œ๐—ง๐—œ๐—” ๐—ž๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐—•๐—จ๐—–๐—›๐—” H...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI ZINAPANGISHWA ITAKUWA WAZI TAR. 30.9.2025 LOCATION KIMARA KOROGWEKODI 400,000X6 UMB...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

10/9/2025 ITAKUWA TAYARI KUINGIASTAND ALONE FOR RENT LOCATION:KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KUTOKEA ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– #Mpyaa#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA SUKA JIRANI NA BA...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

HII NI NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAUZWABei Million 85 ( Maongezi kidogo) NYUMBA HII KWA SASA INAMPA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

Apartment moja kali sanaa @Inapangishwa @Bei 450.000 kwa mwez@Mahali kimara mwisho@Malipo miez 6 na ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

MIEZI IMEPUNGU SASA NI 250,000X4===============APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK10 K...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

0679 997610 MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 100,000X6Chumba cha kulalaC...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 210,000

210.000 TSHAPARTMENT NZURI SANA YA KISASA INA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DAKIKA 5 KWA MGUU AU BODA B...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#OFA #OFA #OFA NIMEISHUSHA KODI KIDGO KUTOKA 400K HADI 380X6============#380X6 NI APARTMENT NZURI IN...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD SIFA YA NYUMBA NI Chumba m...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 210,000

210.000 TSHAPARTMENT NZURI SANA YA KISASA INA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DAKIKA 5 KWA MGUU AU BODA B...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI ZINAPANGISHWA ITAKUWA WAZI TAR. 30.9.2025 LOCATION KIMARA KOROGWEKODI 400,000X6 UMB...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI ZINAPANGISHWA ITAKUWA WAZI TAR. 30.9.2025 LOCATION KIMARA KOROGWEKODI 400,000X6 UMB...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

KODI NI 150,000 x 4 KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) TU KWENYE COM...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 210,000

KODI NI 210.000 TSHAPARTMENT NZURI SANA YA KISASA INA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DAKIKA 5 KWA MGUU A...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

MPYAAAA VINA PANGISHWA KIMARA SUKA KODI 50,000X6NI VYUMBA SINGLE VIKALI SANA MPYAA KABISA KIMARA SUK...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

( 150,000 x 4 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) TU KWENYE COMPAUND...