3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
IYO YA JUU NDO INAPANGISHWA
.
LOCATION: #TABATA_KISUKULU_MAJI_CHUMVI
.
KODI NI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 10
.
SIFA ZAKE
========
#VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJAWAPO MASTER
#SEBULE KUBWA
#DAINING
#JIKO ZURI KUBWA
#PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
HII NYUMBA INAITAJI UKARABATI MKUBWA KIDGO ILI IRUDI UPYA
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343