3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
#400K MALIPO MIEZI X6 KIMARA KOROGWE KWA MKUA
HAPA ZIPO APARTMENTS MBILI TU KWENYE COMPOUND MOJA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA GETI LAKE
NI NYUMBA KUBWA SANA INAFAA KWA MTU MWENYE FAMILIA KUBWA INAPANGISHWA
KODI NI TZS 400K X6
SIFA ZAKE๐
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA DINING KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET YA NDANI NZURI SANA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA YAKISASA, ELECTRIC FENCE
FULL GARDEN FULL PARVING BLOCKS ๐ซ
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA PIA MAJI YANAFLOW NDANI
HEATER YA MAJI MOTO NA BARIDI
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA YOTE YA MAGARI
LOCATION KIMARA KOROGWE ๐ KWA MKUWA UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK. 10 KWA MIGUU MPAKA SITE
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
What saapp number 0689-547258