3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI SANA ZINAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA
NYUMBA NI MPYA MPYA ZOTE ZIKO NDANI YA FENSI ZIPO MBILI TUU [2] JUU NA CHINI
_____________
[1]YA JUU & MILION 1000,000 X MIEZ 6
_____
[2]NA YA CHINI BEI 1000,000 X MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA NI
=================
>VYUMBA VITATU VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
>SEBULE KUBWA
>DAINING
>JIKO ZURI LA KISASA LINA MAKABATI
GARDEN SAFI
NYUMBA INA FULL A/C
VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
HAPO KILA MMOJA ANAJITEGEA UMEME NA MAJI
______________
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 20,000
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMLIPA HELA YA MWEZ MMOJA
LOCATION:KIMARA SUKA..UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 1 5
BARABARA NI NZURI HADI KWENYE NYUMBA
___________________________
CALL #0625606710
Au 0783794666