3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

(500,000X6) KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343

lenardjackson
dalali_kimara_suka_leonard
lenardjackson

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 02/04/2025 AU ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuriLocation Kimara Mwisho or Kimara Stopover km 1.5 from road ...

Sh. 450,000

450,000 x6 0679 956 863 APARTMENT FOR RENT ##450###IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGOR...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

500,000 X6. KIMARA SUKA#APARTMENT_FOR_RENT_AT_KIMARA SUKA VYUMBA VIWILI VYA KULALACHUMBA KIMOJA KIKU...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 02/04/2025 AU ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuriLocation Kimara Mwisho or Kimara Stopover km 1.5 from road ...

Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIMARA MWISHO======================*KIWANJA KIPO KIMARA MWISHO, UPANDE WA KUSHOTO K...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

MASTER BEDROOM NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #100Kchumba na Choo ndani,maji yanaflow chooni ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 02/04/2025 AU ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, SEHEMU YA JIK...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, SEEMU YA JIKO...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA ➖➖➖➖➖📍Kimara mwisho 🕑Dakika 15 kwa mguu kutoka stand ya mwendo ka...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/03/2025 KUONA MALIPO RUKSA#MAST...

Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIMARA MWISHO======================*KIWANJA KIPO KIMARA MWISHO, UPANDE WA KUSHOTO K...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuriLocation Kimara Mwisho or Kimara Stopover km 1.5 from road ...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APATIMENTI KALI SANA IPO JIRANI NA MWENDO KASS INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA MWISHODAKIKA 5_6 KWA M...