3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637

Dalali wa nyumba dar es salaam
dalali_nyumba_za_kisasa_dsm
Dalali wa nyumba dar es salaam

Similar items by location

Retail Space for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

Fremu Inapangishwa kimara Temboni center Kubwa na nzuri zipo kimara TemboniBiashara yoyote inafaaa n...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAF...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

#KODI 180K MALIPO MIEZI X 5LOCATION KIMARA MWISHO KUTOKA MAIN ROD KM1 USAFIRI UPO MASAA 24 BODA SH.1...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NEW Apartments Classic For Rent ✨️ Zipo 6 Kwenye Fence Location: KIMARA MWISHO Distance:KM 2 Kutoka ...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

AYA BEBA PESA KABISA NDUGU MTEJA 💰✍️⛳️APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISAKODI 250,000 × 6 Ipo Karibu S...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT Classic For Rent ✨️ LOCATION: KIMARA MWISHOKUTOKA MAIN ROAD KM1 USAFIRI UPO MASAA 24 BODA...

Retail Space for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

Fremu Inapangishwa kimara Temboni center Kubwa na nzuri zipo kimara TemboniBiashara yoyote inafaaa n...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAF...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

#KODI 180K MALIPO MIEZI X 5LOCATION KIMARA MWISHO KUTOKA MAIN ROD KM1 USAFIRI UPO MASAA 24 BODA SH.1...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

SASA IPO WAZIAPARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ------Chumba Seble kubw...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA CHINI IPO WAZI #SEBULE WASTANI#VYUMBA...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHU...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

SASA IPO WAZI APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK10 KWA MIGUU BODA BUKU. CHUMBA SEBLE...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NI APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISAA UNAZINDUA MWENYEWE ZIINAPANGISHWA .LOCATION:KIMARA KOROGWE KM 2...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#APARTMENT INAPANGISHWA #KIBAMBA_SHULE #250K#Chumba cha kulala (master bedroom)#Sebule kubwa #Jiko k...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#APARTMENT MPYA ZA KUPANGA ZIPO KIMARA MWISHO =======KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6====...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 80,000

#MASTER YA KISASA INAPANGISHWA------------------------------📌I:KIMARA MWISHO(Dsm) 🇹🇿📌#NAFAULISHA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NI APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISAA UNAZINDUA MWENYEWE ZIINAPANGISHWA .LOCATION:KIMARA KOROGWE KM 2...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 80,000

#MASTER YA KISASA INAPANGISHWA------------------------------📌I:KIMARA MWISHO(Dsm) 🇹🇿Umbali:1.3 Km...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

(270,000X3)KIMARA TEMBONI DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD ——IMESHUKA BEI SASA 270 X 3 MAJI BULE...