3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







300,000x6
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
Vyumba vitatu kimoja master
Sebule kubwa sana
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon. Full makabati
Bei:300,000 Kwa mwezi × 6
KM 1.5
Ndani ya fence parking IPO
Wapanaji wa wilitu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Inapigwa rangi yote ndani
Nyumba kali