3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

KITEMO DALALI KIMARA GOBA

CONTACT
SMS /CALL/WATSUP

0719745506
0741994657

DALALI MTOTO KIMARA NA GOBA
kitemo_dalali_kimara_goba
DALALI MTOTO KIMARA NA GOBA

Similar items by location

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Apartment ya Chumba master Sebule na Jiko (200,000) #KIMARA_TEMBONISIFA ZA NYUMBA:>CHUMBA KIKUBWA✔️>...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NI NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA .NI APARTMENT .KODI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

0679 997610 ( 150,000 x 4 ) #KIMARA_MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 2 ) KWENYE...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

MPYA MPYA MPYA KABISA NYUMBA NZURI YA KUPANGA 250K X6KODI LAKI MBILI NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA LO...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KWA WALE AMBAO MNATAKA KARIBU NJONI HARAKA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7 KUTOKA STEND KIM...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NI NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA .NI APARTMENT .KODI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI SANA HIZI ZA KISASA KABISA ZINA PANGISHWA LOCATION: KIMARA TEMBONI UMBALI KM 2.7BODA ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment ya kupanga#Location: KIMARA SUKA#Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 kutoka Main Road Bar...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 100,000X6Chumba cha kulalaChoo ndaniJik...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

SOMA MAELEZO KWA UMAKINI MKUBWA HAPAMPYA MPYA MPYA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWEPIA KUNA CHUMBA MAS...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

KODI NI 150,000 x 4 KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 2 ) KWENYE COMPSUND...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KWA WALE AMBAO MNATAKA KARIBU NJONI HARAKA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7 KUTOKA STEND KIM...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

——300,000 x6. DK 10. 0759151524APARTMENT YA KUPANGISHA KIMARA TEMBONI (300,000)KWA MWEZIChumba Ma...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1 IMESHUKA BEI270 X 6Vyumba viwilli vya kulala sebu...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

SOMA MAELEZO KWA UMAKINI MKUBWA HAPAMPYA MPYA MPYA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWEPIA KUNA CHUMBA MAS...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment ya kupanga#Location: KIMARA SUKA#Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 kutoka Main Road Bar...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

( 150,000 x 4 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 2 ) KWENYE COMPSUND MOJ...