3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363

DALALI PATRICK KIMARA |MBEZI |GOBA | KIBAMBA
dalali_patrick_kimara_mbezi
DALALI PATRICK KIMARA |MBEZI |GOBA | KIBAMBA

Similar items by location

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HIZI APARTMENT NI KALI SANA YAANI NI KALI WAHI MAPEMA KAMA HUNA HARAKA INAKUWA WAZI TAREHE 30/04/202...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 01/04/2025 MALIPO RUKSA #SEBULE KUBWA #...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NEW NEW APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI IMESHUKA BEI 350K#SEBULE ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🇹🇿Apartment Classic For RentZipo 3 Kwenye Fence Nimeishusha Bei Sasa Ni 500,000 🏃‍♀️🏃‍♂️Locatio...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜Apartment ziko mbili tuu ndan ya fe𝗻si𝗡𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗺𝗼𝗷�...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Apartment ziko mbili tuu ndan ya fesi Umbali km 2 usafir uhakikaZipo kimara tembin Sifa ni Vyumba v...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1KUPELEKWA KUONA N...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

#KODI NI TZS 160K X6 SIFA ZA NYUMBA 👇CHUMBA MASTER BEDROOMJIKO KUBWATYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINI...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200,000 x6. DAKIKA CHACHE KUTOKA LAMI WAI SASA TAJILIAPARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA S...

200,000 x6. 0679 956 863 DAKIKA CHACHE KUTOKA LAMI WAI SASA TAJILIAPARTMENT NZURI YA KISASA INAPAN...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 4🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMB...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200,000 x6. DAKIKA CHACHE KUTOKA LAMI WAI SASA TAJILIAPARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA S...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🚨🔥#APARTMENT #INAPANGISHWA➖➖➖➖➖📍Kimara Stop over 🕑kutoka standi ya mwendo kasi km1 usafili boda ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

#KODI NI TZS 160K X6 SIFA ZA NYUMBA 👇CHUMBA MASTER BEDROOMJIKO KUBWATYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINI...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1KUPELEKWA KUONA N...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200,000 x6. DAKIKA CHACHE KUTOKA LAMI WAI SASA TAJILIAPARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA S...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🚨🔥#APARTMENT #INAPANGISHWA➖➖➖➖➖📍Kimara Stop over 🕑kutoka standi ya mwendo kasi km1 usafili boda ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🇹🇿NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT Mnaopenda Nyumba Nzuri 🏃🏃‍♂️💰✍️KODI 600,000 × 6Location: KIMAR...