3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA MWISHO
KM 2 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI BAJAJ DALALALA UPO
BEI NI 300,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 3 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA WASTANI
DINNING
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
KUONYESHWA NYUMBA TSH 15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI KODI YA MWEZI
What saapp Number 0689-547258