3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

SIMU

+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49

MSHATI

Mshati Kimara
dalali_mshati_kimara_mbezi
Mshati Kimara

Similar items by location

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

0679 997610 200,000 × 3) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜——Apartment nzuri sana Inapangishwa kimara tembo...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KODI NI 300,000X6 WAHIISoma kwamakini sa...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#APARTMENT KALI SANA YA KISASA INA PANGISHWA LOCATION: #KIMARA_SUKA #KODI 500,000X6 UMBALI DAKIKA 10...

2 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA #MBEZI_LUGURUNI_KARIBU_NA_OFFICE_ZA_MANISPAA_YA_UBUNGO KM 1 KUTO...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

#APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA #BEI NI 600,000/= X 6 #GOBA_NJIA_4📌�...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APATIMENTI KALI SANA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KODI NI 300,000X6 WAHIISoma kwamakini sa...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KM 1 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI B...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 115,000

MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA N...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment Kali sana 300,000 × 6 KIMARA MWISHO *NAIFAULISHA* APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KM ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

🇹🇿APARTMENT#MPYAA INAPANGISHWA📍Kimara Bucha Dar es Salaam🕑1km kutoka Kituo Cha Mwendokasi, Usaf...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Location: KIMARA SUKA Distance: Dakika 10 Kutoka Main Road Price: 500,...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🇹🇿APARTMENT CLASSIC FOR RENT Location: KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI DK.10-1...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KODI NI 300,000X6 WAHIISoma kwamakini sa...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KM 1 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI B...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KM 1 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI B...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA 250,000/= X" 3 "💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO#CHUM...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 270,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI --------Chumba kikubwa Seble kubwa...