3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

(500,000X6)KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343

lenardjackson
dalali_kimara_suka_leonard
lenardjackson

Similar items by location

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 230X5, 6.LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA BARUTI #𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

🇹🇿APARTMENTS CLASSIC FOR RENT ZIPO 2 NDANI YA FENCE - SOMA MAELEZO VIZURI Location: KIMARA KOROGWE...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

Apartment Classic For Rent #350,000Zipo 4 Kwenye Fence Location: KIMARA MWISHOUmbali Wa KM 1 Kutoka ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI 250,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA...

Sh. 150,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO KILOMETA1.5KUTOKA BARABARA YA LAMI📌USAFIRI UPO MWINGI WA BAJA...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI 250,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 12 SIFA YA NYUMBA NI Vyumba viwilli vya kulala chumba...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MA...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

500,000 x6. 0679 956 863 WSP 0781 418 437 pg ♥️ HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE LOCATION: KIMARA MWISHOSIFA ZAKE KODI 400,000X6 #...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

(250,000X6)KIMARA TEMBONI➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA B...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 TU NDANI YA FENCE SOMA MAELEZO VZR LOCATION KIMARA KORO...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 2 USAFIR...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 500,000X6 LOCATION KIMARA BARUTI DK 8-10 KUTEMBEA DALALI ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

(350,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗨𝗞𝗔IPO WAZI SASA WAHI MAPEMA NDUGU MTEJA APARTMENT NZURI SANAA INAPA...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI 250,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

1.2ML INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1.5 USAFIRI UPO WA UHAKI...