3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







๐กAPARTMENT NZURI KIMARA BONYOKWA
NI NYUMBA NZURI KABISA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA
LOCATION TABATA BONYOKWA, UMBALI KUTOKA KITUO CHA DALADALA NI DK.6 KUTEMBEA KWA MIGUU
KODI NI TZS 250K X5,6
SIFA ZAKE ๐
VYUMBA VITATU VYA KULALA SEBULE KUBWA PUBLIC TOILET KUBWA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE ISIYOLAZA GARI
NYUMBA INAJITEGEMEA PEKE YAKE UKIWEMO UMEME NA MAJI
MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI MASAA YOTE PIA KUNA RESERVE TANK
CHANGAMKIA FURSA HII NDUGU MTEJA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
SIMU
0713661530_0783661530