3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 600,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#HEATER YA MAJI MOTO
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI

BEI NI 600,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 6

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

#0710614924
#0688653940

damalo_dalali_kimara_ubung_mbz
damalo_dalali_kimara_ubung_mbz
damalo_dalali_kimara_ubung_mbz

Similar items by location

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Apartment Classic For Rent ✨️Zipo 3 Kwenye Fence Location: KIMARA MWISHO Upande Wa Kushoto Kama Unae...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Zipo 4 Kwenye Fence Location: KIMARA KOROGWE Distance: KM 1 Kutoka Mor...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA JUU IPO WAZI WAHI MTEJA BEI 400K#SEBUL...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA KUBWA NZURI SANA YA FAMILIA INA PANGISHWA KODI 250,000X4SEHEMU: KIMARA TEMBONINA VYUMBA VIWIL...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT KALI INAPANGISHWA LOCATION KIMARA TEMBONI KODI 150,000X3UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2.5...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 80,000

KODI EYU 80,000 x 5 ) CHUMBA MASTER MPYA MPYAUMBALI WA KILOMETA ( 2,5) KIMARA MWISHO MWENDOKASUMBALI...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#KODI 500K MALIPO MIEZI X 6LOCATION KIMARA KOROGWE 👉 KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2USAFIRI UPO MASAA...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI -----Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedro...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT 3 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI INAKUWA WAZI...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6🌟 ...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 8,976,024

(300,000X6)KIMARA TEMBONI 1KM KUTOKA MOROGORO, BAJAJI 700, BODA ELF MOJA ➖➖➖➖➖➖➖SIFA ZA NYUMBA VYUMB...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

(500,000 × 6) #STAND_ALONE 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEM...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 35,000

(300,000 × 3,4,5,6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢WAKUU HII NYUMBA IMESHUKA BEI. KUTOKA 35,000❌ ADI 30...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA IPO WAZI MAFUNDI WAPO KWENYE MABORESHO#SEBULE WASTANI#...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

Apartiment house for rent kali nzuri sana Location kimara suka golani km2 usafiri upo bajaji ukishuk...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA IPO WAZI MAFUNDI WAPO KWENYE MABORESHO#SEBULE WASTANI#...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

#APARTIMENT YA KISASA INAPANGISHWA(450K X 6)#NAFAULISHA MTEJA WANGU------------------------------📌K...