3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
š APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA DINING KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/= X 6.NAKUENDELEA
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI 700 AU BODABODA 1000 UNAWEZA KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA KUMI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
HII NYUMBA IPO MAZINGIRA MAZURI SANA NA USALAMA UPO WA KUTOSHA