3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kiseke, Mwanza


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KISEKE PPF
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko na public toilet
-kodi Milioni 6 kwa mwaka
-malipo ni miezi sita
-umeme na maji unajitegemea
☎️ 0743220097