3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Magomeni, Dar Es Salaam
Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Magomeni
Bei: Bila Fanicha - 1000,000 Malipo Mwaka
NA Fanicha - 1,500,000 Malipo Miezi 6
☑️Vyumba Vitatu Vyote Ni Master
☑️Sebule 2, Dining, Jiko & Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme Na Maji
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate
#0786801000whatsapp