3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI #400k
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 400,000 Kwa mwezi Γ 6
Umbali KM 1.5 barabara safi ya zege wenye gari za chini fursa hii
Umeme Kwa sasa kuna wa single room utatumia naye anafungiwa submeter na maji
Ndani ya fence parking IPO ya kutosha
NB: Ukilipia unasubiri wiki moja afanye marekebisho ndani halafu utahamia
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0713320608
0686334182