3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH ( Jirani na lami)
ββββ
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 800 kwa mwezi
Ilipwe miezi 6
---------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni USD 800
---------------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach πΉπΏ