3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA KIBANDA CHA MKAA
🌟🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#KIMOJA NI MASTER
#JIKO KUBWA LINA MAKABATI MAZURI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 300,000/= X 6
đź’«đź’« APARTMENT HII IPO KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI,KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI 3KM
BAJAJI 700
BODA 1000-1500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA KODI YA MWEZI MMOJA YA UDALALI
==========
CONT
0683234124
0752978231