3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI MWISHO/ STEND YA MAGUFULI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 5 TU KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 3 VYA KULALA
VIWILI MASTER
SEBULE KUBWA
MAJIKO MAWILI
LA NDANI NA NJE
PUBLIC TOILET NDANI
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
KODI 700,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM# 0674860193