3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH
———————————————————
KODI USD 800$/=KWA MWEZI (BILA FURNITURE)
________________
MALIPO KUANZIA MIEZI 3
APART YA KISASA
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba vitatu vya kulala, # Master Yenye Makabati Ac Sebule dinning# Jiko, Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks
FencedApart
Garden