3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VITATU
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM TZ
MAHALI-MBEZI BEACH TANGI BOVU
KODI TSHS LAKI 950,000/KWA MWEZI
MALIPO YA KUANZIA MIEZI 6
UKILIPA KODI HIYO UNALIPA UMEME TU AMBAO UNA LUKU YAKO, GHARAMA ZINGINE ZOTE KAMA #ULINZI, #MAJI, #USAFI, #TAKATAKA VIMEJUMUISHWA KWENYE
KODI
APART NZURI YA KISASA
YA KIFAMILIA
YENYE:-
Vyumba Vitatu vya kulala #kimojawapoMaster, #Ac #Sebule #dinning #Ac #Jiko zuri lenye #Makabati #Gypsum #Tiles #aluminium #Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks #FencedApart
0688193153
0655677213