3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam
Apartment for rent(office)
Loc:sinza A
Price:900,000 per month
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya ofisi inalipwa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Vyumba 3 vya kulala kimoja master sebule jiko nyumba nzuri ipo karibu sana na barabara inafaa kwa ofisi
Fanya kazi na Dalali wenye ofisi uepuke kutapeliwa fika ofisini sinza madukani tukudumie
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈