3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
#APARTMENT ZIPO 2 NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 400,000/= X 6
š #APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET NDANI
#APARTMENT ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#BEI NI 400,000/= X 6
šļø #APARTMENT HII IPO #TABATA_KISUKULU_MIGOMBANI
#USAFIRI NI BAJAJI SH 700
#KUTOKEA UBUNGO EXTERNAL UNAFIKA
#KUTOKEA TABATA SEGEREA UNAFIKA
#KUTOKEA TABATA KIMANGA UNAFIKA
#KUTOKEA UBUNGO MAKOKA KWA MKUA UNAFIKA
š NDUGU MTEJA KUONESHWA NYUMBA GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0769680796whtsp
#0712348316Whatsp