3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


APARTMENT ZIPO 2
MOJA INAPANGISHWA
MAHALI: TABATA KISUKURU MAJI CHUMVI
________________________
INA VYUMBA VITATU
KIMOJA MASTA
SEBULE
DINING ROOM
JIKO
______
PARKING
NDANI YA FENCE
MAJI UMEME UNAJITEGEMEA
______________
KODI TSH 450,000 KWA MWEZI
PIGA š 0788373343
SERVICE CHARGE 15000
=============