3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Boda 1000 Bajaji ni 500
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
==============
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa yapo na yakisima pia
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
0715949085
0782838336