3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
VIOO VINAWEKWA MADILISHA YOTE
STAND ALONE
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER bedroom
SEBULE KUBWA
DINING KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING KUBWA YA KUTOSHA
Kodi 700,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
NYUMBA HII IPO UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU
KUTOKA MANDERA ROAD HADI KWENYE N Kilometer 1
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge 15,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.