3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Uwanjani, Songwe


LEO NDUGU MTEJA NIMEKULETEA NYUMBA BEI YA KUTUPA ,CHUKUA BODA HARAKA UWAI
USIJE UKACHELEWA UKANILAUMU
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA 
LOCATION:
KWA MSUGURI 
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2
SIFA ZAKE:
VYUMBA 3 VYA KULALA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI 
ZIPO MBILI TU NDANI YA FENCE 
UWANJANI PAVING BLOCK 
UMEME LUKU YAKE 
MAJI YA BILI DAWASA 
KODI 200,000 5,6 
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA 
PIGA CM# 0674860193




















