3 Bedrooms House/Apartment for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa
Dar
Kigamboni Dege
Nyumba ni mpya
Ina vyumba 3 moja masta
Jiko kubwa
Sebule kubwa
Umeme
Maji vipo
Ukubwa wa eneo
Sqm 700
Nyumba ipo jirani na
Apartment za Nssf
Nyumba ina Hati ya wizara
Bei Mil 130
☎️☎️0693 468394