2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bonyokwa, Dar Es Salaam







(300,000X6) BONYOKWA STAND MWISHO
——
APARTMENT YA
KISASA INAPANGISHWA #BONYOKWA STENDI_MWISHO
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 300,000/=×6
.
APARTMENT HII ZIPO BONYOKWA MWISHO UKISHUKA TUU KWENYE DALADALA UNATEMBEA DK 5
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
.
.
Service Charge ni TZS 15,000/=
.
CONTACT US:-
0677445508



















