2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bugando, Mwanza
APARTMENT INAPANGISHWA BUGANDO KWA MZUNGU
-in vyumba viwili vya kulala kimojawapo ni self contained, sebule, dinning, jiko na public toilet
-hearter, makabati, water reserve tank, car parking space n.k
-umeme na maji unajitegemea
-kodi ni Milioni 4 kwa mwaka
-malipo ni miezi sita
NB:- Familia 2 ndani ya fensi
☎️ 0743 220097