2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA (APARTMENT MPYA)
NYUMBA ZIPO 4 NDANI YA FENSI
___________
LOCATION: BUNJU B - (Dakika 2 kutembea Mpaka Stand).
___________
NYUMBA YA KWANZA
- 1 Master Bedroom, Big Sitting room, Kitchen
Kodi: Tsh. 250,000/= Kwa Mwezi, Kuanzia Miezi 3
NYUMBA YA PILI
- 2 Bedrooms (1 Master), Sitting room, Kitchen
Kodi: Tsh. 300,000/= Kwa Mwezi, Kuanzia Miezi 3
___________
- Umeme na Maji kila mtu anajitegemea.
- Madirisha na Milango vipo teyari vinawekwa.
Call/WhatsApp:- 0687800788 / 0713958395