2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam
Apartment for rent.
IPO dar es salaam tz.
Location _ Goba contenal
Muundo wa Nyumba:-
📍 Vyumba viwili vya kulala kimoja selfu
📍 Sebule kubwa & dinning room
📍 Public toilet
📍Jiko lenye kabati
📍Stoo
📍Full a/c
📍 Car paving block
#nyumba Kali sana dk 10 kutembea kutoka lami.
Bei lk 750,000kwa mwezi
Malipo ya miezi 6.
Number
#0688396025whatsp