2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
Kodi :: Tzs 300,000 kwa Mwezi
Malipo :: Miezi 6
Location :: GOBA KULANGWA KILOMETA 2 KUTOKA MADALE ROAD
.
📍Vyumba Viwili (Kimoja ni Masta)
📍Sebule
📍Jiko lenye makabati
📍Public Toilet
📍Luku Yako
📍Fenced
📍Parking Space ipo.
.
.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















