2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - MTAA TEGETA A KWA BEDUİ
💧Bei :: 450,000Tsh kwa Mwezi, malipo miezi 6
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍AC kwenye Masta na Sebuleni
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri kubwa
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0679997610
0747997630
Msigwa
Call /Whatsapp