2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


NEW Apartment Classic For Rent ✨️
Location: GOBA NJIA NNE (Madale Road)
Distance: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 10 Kutoka Kituoni Main Road, Boda 1000
☑️Sebule kubwa
☑️Vyumba VIWILI Vya Kulala na Kimoja Wapo Master
☑️Jiko Kubwa la Kisasa
☑️Public Toilet
☑️Reserve Tank
☑️Full A/c
☑️Heater
Apartment zipo ndani ya Fence Parking ipo Mazingira Mazuri Umeme LUKU inajitegemea na Maji yanaflow ndani.
Price: 600,000
Pia Kuna CHUMBA, SEBULE, JIKO NA CHOO Kodi 500k
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission