2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Goba (Makongo Road)
Bei: 650,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 3
Lami Nyumba
☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Jiko & Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme Na Maji
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalali abuu
Piga cm 0677370515