2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE
💧Bei :: 650,000Tsh kwa Mwezi (#MIEZI_6)
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili ( Vyote ni Masta)
📍AC sebuleni na Kwenye Master
📍Sebule kubwa
📍Makabati Chumbani
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye makabati
📍Paving Blocks
NB: MAJI, ULINZI & USAFI BUREEE
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp