2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam
🎄APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA
🎄ZIPO TANO KWENYE FENSI
🎄MUUNDO WA NYUMBA
📍Vyumba viwili kimoja self
📍Jiko la wazi na Sebule kubwa
📍Hita ya maji na air conditioning
📍Maji Umeme Unajitegemea ni jirani sana na lami
📍Bei yake 650k malipo miezi 3✅️
📍Ipo goba njia nne uelekeo madale
🥕Service charge 20,000/=
☎️Tupigie cm 0782 724 115