2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI #2200K
Vyumba 2 vyakulala sebule jiko na public toilet
Kodi 220,000 Kwa mwezi × 6
Umbali dakika 10 Tu Kwa mguu toka kituoni
Ndani ya fence parking kubwa, kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena SIMU 0659336751 WAP 0786085637