2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA #300K
Vyumba 2 vya kulala kimoja wapo master bedroom Sebule kubwa jiko na public toilet 
Kodi 300,000 kwa mwezi ×4
Umbali dakika 12 kwa mguu 
Ndani ya fence parking ipo umeme Inajitegemea 
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343




















