2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA KALIII ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE KIBWEGERE #350k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom kubwa Sana dinning kubwa sebule kubwa jiko full makabati stoo na public toilet
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 3 Usafiri bodaboda
Ndani ya fence parking IPO kubwa
Zipo 2 Tu kwenye fence kila Mtu anajitegemea umeme na maji,
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167