2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🚨🔥#APARTMENT #INAPANGISHWA
âž–âž–âž–âž–âž–
📍Kimara Baruti
đź•‘Umbali kutoka standi ya mwendo kasi dakika 7 _8 kwa mguu
#SIFAZAKE
🌲Vyumba Viwili, kimoja Master
🌲Sebule
🌲Jiko linawekwa makabati
🌲Public Toilet ya ndani
🌲Umeme Luku Yake
🌲Maji meter yake na yanaflow ndani
🌲Fence amna & Parking Kubwa mazingira mazuri sana
📌Mafundi wapo kazini kumalizia vitu vidogo dogo Tu
đź”·Kodi Tsh 350, 000Ă— miezi 6/=
đź”·Malipo ya Dalali Tsh 350, 000/=
đź”·Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
O627977383
,