2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(450,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗨𝗞𝗔 🔥 MPYA YA KISASA 🔥
APARTMENT 🔥 MPYA YA KISASA 🔥 INAPANGISHWA KIMARA SUKA BEI NI 450,000/= × 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA #𝗟𝗜𝗡𝗔𝗙𝗨𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗕𝗔𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗦𝗔
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#NYUMBA IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME ULINZI NI WA UHAKIKA (𝗘𝗟𝗘𝗖𝗧𝗥𝗜𝗖 𝗙𝗘𝗡𝗖𝗘)
#PARKING
#MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA KAZI KWA KASI YA 5G
BEI NI 450,000/= × 6
ITAKUWA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/10/2024
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA JIRANI NA BARABARA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
📌📌 NYUMBA HII ITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/10/2024 NDUGU MTEJA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300